On Development
On Development CPK tunaamini ukweli kuwa maendeleo ya Wakenya yataletwa na Wakenya wenyewe. Uhuru na ukombozi wa Kenya unatutegemea sisi wenyewe. Ndiyo kwa maana tunazingatia siasa ya ujamaa na kujitegemea.