Uhuru Na Haki Za
Pasina nadharia ya kimapinduzi hapawezi kuwa na
Pasina nadharia ya kimapinduzi hapawezi kuwa na harakati za kimapinduziMawazo ya kimapinduzi huwa nguvu za kimapinduzi yanapowafikia ummaMarx, Engels na LeninYaliyomo:1. Utangulizi: kuelewa uhuru na haki za binadamu1.1. Umuhimu wa ufafanuzi wa uhuru na haki za binadamu1.2. Msimamo nitakaouzingatia katika mjadala huu1.1. Je, ni nini maana ya haki za binadamu?1.3. Uhusiano wa uhuru na na haki za binadamu1.4. Maendeleo, uhuru na haki za binadamu2. Historia ya haki za binadamu2.1. Utangulizi: mifumo ya uzalishaji2.2. Msamiati wa siasa-uchumi2.2.1. Kuzaana na kuzalisha2.2.2. Vitu
Soma ZaidiNeoliberalism, Privatization and Social Justice Paper Presented
Julius Kambarage Nyerere
Samora Machel
Karl Marx, Fredrick Engels and Vladimir Lenin
Fredrick Engels
Mao Tse Tung
CPK siku zote tutapambania kuheshimiwa na kutekelezwa kwa haki za binadamu nchini na popote ulimwenguni. Kwani tunaamini kuwa kila binadamu ana haki ya kuishi maisha ya afya, amani, salama, furaha, shibe, kiutu na bila hofu wala wasiwasi.
CPK tunaamini ukweli kuwa maendeleo ya Wakenya yataletwa na Wakenya wenyewe. Uhuru na ukombozi wa Kenya unatutegemea sisi wenyewe. Ndiyo kwa maana tunazingatia siasa ya ujamaa na kujitegemea.
CPK tunaunga mkono harakati za ukombozi wa Waafrika na watu weusi pahali popote walipo ulimwengini. Kwani tunafahamu historia chungu ya Wafrika na watu weusi ya kuwa chini ya utumwa, ukoloni-mkwengwe, ukoloni-mamboleo na ubepari.
Just because you do not take an interest in politics doesn't mean politics won't
take an interest in you